Revelation of John 19:17

Mnyama Na Majeshi Yake Yashindwa

17 aNami nikamwona malaika amesimama ndani kwenye jua, akaita ndege wote warukao angani kwa sauti kuu, “Njooni, kusanyikeni kwa ajili ya karamu kubwa ya Mungu,
Copyright information for SwhNEN